NDOA BTS.
HTML-код
- Опубликовано: 9 апр 2025
- Alhamdulillah! 🤲🏾 Nimepata heshima ya kushuhudia kaka yangu, msanii mwenzangu Manyo Lee, akifunga ndoa katika hafla ya Kiislamu iliyojaa upendo, heshima na baraka tele. Mwenyezi Mungu awajalie maisha yenye furaha, amani na mafanikio katika ndoa yao. Ameen! 💍✨
Tazama matukio ya kipekee kutoka siku hii muhimu na usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa maudhui zaidi!
#ManyoLeeWedding #ShilastarGallery #NdoaYaKiislamu #BarakaZaNdoa
Shila unanikosha sana na video zako😅😅
😂😂